Ufafanuzi wa kiingizi katika Kiswahili

kiingizi

nominoPlural viingizi

Sarufi
 • 1

  Sarufi
  neno ambalo hutumiwa katika usemaji na linaloonyesha hisia za msemaji k.v. furaha, mshangao, hasira, uchungu, maumivu au mshtuko mkali, n.k. k.m. Ah!, Lo!, Salaalaa!.

  kihisishi

 • 2

  Sarufi
  aina ya neno ambalo uamilifu wake ni kuonyesha hisia za msemaji.

  kihisishi

Matamshi

kiingizi

/ki:ngizi/