Ufafanuzi msingi wa kijalizo katika Kiswahili

: kijalizo1kijalizo2

kijalizo1

nominoPlural vijalizo

  • 1

    kitu cha kujaliza ili kukamilisha kitu au jambo.

    kiongezo

Matamshi

kijalizo

/kiʄalizɔ/

Ufafanuzi msingi wa kijalizo katika Kiswahili

: kijalizo1kijalizo2

kijalizo2

nominoPlural vijalizo

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    kipashio kinachokamilisha kipashio kingine katika tungo/sentensi.

Matamshi

kijalizo

/kiʄalizɔ/