Ufafanuzi wa kijiko katika Kiswahili

kijiko

nominoPlural vijiko

  • 1

    chombo kidogo aina ya upawa kilichotengenezwa kwa chuma, sandarusi, mti, n.k. kinachotumiwa kwa kulia chakula, kunywea, kukorogea au kuchotea kitu.

    ‘Kijiko cha chai’
    ‘Kijiko cha supu’

Matamshi

kijiko

/kiʄikɔ/