Ufafanuzi wa kijito katika Kiswahili

kijito

nominoPlural vijito

  • 1

    mto mdogo wenye kiasi kidogo cha maji yanayotiririka.

Matamshi

kijito

/kiʄitɔ/