Ufafanuzi wa Kijomvu katika Kiswahili

Kijomvu

nominoPlural Kijomvu

  • 1

    lahaja mojawapo ya Kiswahili isemwayo Mombasa.

Asili

Jomvu

Matamshi

Kijomvu

/kiʄOmvu/