Ufafanuzi wa kijungujiko katika Kiswahili

kijungujiko

nominoPlural kijungujiko

  • 1

    kiasi kidogo cha kitu kisichotosheleza haja.

    ‘Anapata mshahara wa kijungujiko’

Matamshi

kijungujiko

/kiʄunguʄikɔ/