Ufafanuzi msingi wa kijusi katika Kiswahili

: kijusi1kijusi2kijusi3

kijusi1

nominoPlural kijusi, Plural vijusi

 • 1

  tendo la kuvunja bikira msichana kwa kumwingilia.

Matamshi

kijusi

/kiʄusi/

Ufafanuzi msingi wa kijusi katika Kiswahili

: kijusi1kijusi2kijusi3

kijusi2

nominoPlural kijusi, Plural vijusi

 • 1

  harufu mbaya.

Matamshi

kijusi

/kiʄusi/

Ufafanuzi msingi wa kijusi katika Kiswahili

: kijusi1kijusi2kijusi3

kijusi3

nominoPlural kijusi, Plural vijusi

 • 1

  mimba ya miezi minne.

  kilenge

Matamshi

kijusi

/kiʄusi/