Ufafanuzi wa Kikae katika Kiswahili

Kikae

nominoPlural Kikae

  • 1

    lahaja mojawapo ya lugha ya Kiswahili.

    ‘Kikae cha Makunduchi’

  • 2

    lugha ya zamani ya Kiswahili.

    ‘Kikae cha Shungwaya’

Matamshi

Kikae

/kikajɛ/