Ufafanuzi wa kikaza katika Kiswahili

kikaza

nominoPlural vikaza

  • 1

    kitu kama msumari au skrubu kinachotumiwa kuunganishia au kushikizia vitu viwili.

Matamshi

kikaza

/kikaza/