Ufafanuzi msingi wa kiko katika Kiswahili

: kiko1kiko2

kiko1

nominoPlural viko

  • 1

    chombo cha kuvutia tumbaku ambacho kina mrija uliounganika na kijibakuli.

    toza, dali, tamati, mtemba

Matamshi

kiko

/kikɔ/

Ufafanuzi msingi wa kiko katika Kiswahili

: kiko1kiko2

kiko2

nominoPlural viko

  • 1

    kiungo cha mkono kati ya kiwiko na bega.

    kisugudi

Matamshi

kiko

/kikO/