Ufafanuzi wa kikojozi katika Kiswahili

kikojozi

nominoPlural vikojozi

  • 1

    mtu, agh. mtoto, mwenye tabia ya kukojoa kitandani wakati yuko usingizini.

Matamshi

kikojozi

/kikOʄOzi/