Ufafanuzi wa kikome katika Kiswahili

kikome

nominoPlural vikome

  • 1

    sehemu inayojitokeza kwanza katika mbegu wakati wa kuota kabla ya kutoa mizizi.

Matamshi

kikome

/kikOmɛ/