Ufafanuzi wa kikomunisti katika Kiswahili

kikomunisti

kivumishi

  • 1

    -enye kufuata mfumo wa kisiasa na kiuchumi wa kisoshalisti.

Matamshi

kikomunisti

/kikOmunisti/