Ufafanuzi wa kikorombwe katika Kiswahili

kikorombwe

nominoPlural vikorombwe

  • 1

    mluzi unaopigwa kwa kupuliza mvungu wa vitanga vya mikono.

    filimbi

Matamshi

kikorombwe

/kikOrOmbwɛ/