Ufafanuzi wa kikota katika Kiswahili

kikota

nomino

  • 1

    kisu kinachotengenezwa kwa mabamba lakini hakina ncha.

    ubamba

Matamshi

kikota

/kikOta/