Ufafanuzi wa kikuba katika Kiswahili

kikuba

nominoPlural vikuba

  • 1

    pambo linalotengenezwa kwa rihani, mkadi, kilua na asumini, agh. huwa lina umbo mstatili na huvaliwa shingoni na wanawake.

    ‘Kikuba cha asumini hakikuja bure’

Asili

Kar

Matamshi

kikuba

/kikuba/