Ufafanuzi msingi wa kila katika Kiswahili

: kila1kila2

kila1

kielezi

  • 1

    bila ya kubaki.

    ‘Kila aendako hufika’

Matamshi

kila

/kila/

Ufafanuzi msingi wa kila katika Kiswahili

: kila1kila2

kila2

kivumishi

  • 1

    ‘Kila mtu afike’
    -ote

Matamshi

kila

/kila/