Ufafanuzi wa kilalanungu katika Kiswahili

kilalanungu

nominoPlural vilalanungu

  • 1

    mmea unaotambaa kwa kujifungafunga kama mtambaajongoo na kufanya kichaka, agh. huwa maficho ya wanyama k.v. sungura au nungu.

Matamshi

kilalanungu

/kilalanungu/