Ufafanuzi wa kileji katika Kiswahili

kileji

nominoPlural vileji

  • 1

    keki ndogo ya duara inayotengenezwa kwa unga wa mchele.

Matamshi

kileji

/kilɛʄi/