Ufafanuzi msingi wa kilema katika Kiswahili

: kilema1kilema2

kilema1

nominoPlural vilema

  • 1

    kasoro iliyoko kwenye kiungo au viungo vya mwili.

    uatilifu

Matamshi

kilema

/kilɛma/

Ufafanuzi msingi wa kilema katika Kiswahili

: kilema1kilema2

kilema2

nominoPlural vilema

  • 1

    mtu mwenye upungufu wa kiungo k.v. kiwete.

Matamshi

kilema

/kilɛma/