Ufafanuzi msingi wa kilemba katika Kiswahili

: kilemba1kilemba2kilemba3

kilemba1

nominoPlural vilemba

 • 1

  kitambaa au nguo iliyozungushwa kichwani.

  ‘Vaa kilemba’

Matamshi

kilemba

/kilɛmba/

Ufafanuzi msingi wa kilemba katika Kiswahili

: kilemba1kilemba2kilemba3

kilemba2

nominoPlural vilemba

 • 1

  undu au shungi la jogoo.

Matamshi

kilemba

/kilɛmba/

Ufafanuzi msingi wa kilemba katika Kiswahili

: kilemba1kilemba2kilemba3

kilemba3

nominoPlural vilemba

 • 1

  ada ya harusi wanayopewa wajomba wa bibi harusi.

 • 2

  mlungula, rushwa, hongo, chichiri, chauchau, kadhongo, chai, chirimiri, kiinikizo

 • 3

  malipo atoayo mwanagenzi kwa mhunzi wake baada ya kuhitimu mafunzo yake.

Matamshi

kilemba

/kilɛmba/