Ufafanuzi wa kileo katika Kiswahili

kileo

nomino

  • 1

    kitu kinacholevya k.v. pombe, mvinyo au bangi.

    akari, ulevi, alkoholi, sharabu

Matamshi

kileo

/kilɛwO/