Ufafanuzi wa kilihafu katika Kiswahili

kilihafu

nominoPlural vilihafu

  • 1

    tumbo dogo la mnyama mwenye kucheua na lenye umbo kama kitabu.

    kisafu

Matamshi

kilihafu

/kilihafu/