Ufafanuzi wa kilima katika Kiswahili

kilima

nomino

  • 1

    mwinuko wa ardhi uliotokeza juu ya usawa wa ardhi kama kichuguu lakini mkubwa zaidi; mlima mdogo.

Matamshi

kilima

/kilima/