Ufafanuzi wa kilimia katika Kiswahili

kilimia

nomino

  • 1

    kikundi cha nyota zinazoambatana na majira ya mvua.

    thurea

Matamshi

kilimia

/kilimija/