Ufafanuzi msingi wa kilimilimi katika Kiswahili

: kilimilimi1kilimilimi2

kilimilimi1

nominoPlural kilimilimi, Plural vilimilimi

  • 1

    tabia ya kuchukua maneno na kuyapeleka huko na huko.

    umbeya, udaku

Matamshi

kilimilimi

/kilimilimi/

Ufafanuzi msingi wa kilimilimi katika Kiswahili

: kilimilimi1kilimilimi2

kilimilimi2

nominoPlural kilimilimi, Plural vilimilimi

  • 1

    mtu mwenye tabia ya umbeya.

    mbeya, mdaku

Matamshi

kilimilimi

/kilimilimi/