Ufafanuzi wa kilindi katika Kiswahili

kilindi

nominoPlural vilindi

  • 1

    mahali baharini au bandarini penye kina kirefu cha maji ambapo vyombo huweza kutia nanga.

    kilifi, shumbi

Matamshi

kilindi

/kilindi/