Ufafanuzi wa kilopwe katika Kiswahili

kilopwe

nominoPlural vilopwe

  • 1

    mti wenye mashina yaliyosokotana au yatambaayo, matawi yanayozagaa na maua ya kibuluu.

Matamshi

kilopwe

/kilOpwɛ/