Ufafanuzi msingi wa kilua katika Kiswahili

: kilua1kilua2

kilua1

nominoPlural vilua

  • 1

    ua dogo kama asmini la rangi nyeupe linalonukia.

Matamshi

kilua

/kiluwa/

Ufafanuzi msingi wa kilua katika Kiswahili

: kilua1kilua2

kilua2

nominoPlural vilua

  • 1

    ngoma ya kienyeji ambayo huchezwa na wanawake.

Matamshi

kilua

/kiluwa/