Ufafanuzi msingi wa kima katika Kiswahili

: kima1kima2kima3

kima1

nominoPlural kima, Plural vima

 • 1

  mnyama mdogo jamii ya nyani, mkubwa kuliko tumbiri na mwenye rangi agh. ya kijivujivu mwili mzima.

Matamshi

kima

/kima/

Ufafanuzi msingi wa kima katika Kiswahili

: kima1kima2kima3

kima2

nominoPlural kima, Plural vima

 • 1

  kiwango fulani cha kitu k.v. bei au mshahara.

  ‘Kima cha chini cha mshahara’
  kipimo

Matamshi

kima

/kima/

Ufafanuzi msingi wa kima katika Kiswahili

: kima1kima2kima3

kima3

nominoPlural kima, Plural vima

 • 1

  nyama iliyosagwa.

Asili

Khi

Matamshi

kima

/kima/