Ufafanuzi wa kimangare katika Kiswahili

kimangare

nomino

  • 1

    kirungu ambacho hutumiwa sana na Wamasai na Wakwavi.

Matamshi

kimangare

/kimangarÉ›/