Ufafanuzi wa kimbilia katika Kiswahili

kimbilia

kitenzi sielekezi~ana, ~ka, ~wa

  • 1

    fuata mtu anayekimbia kwa mwendo wa haraka ili kumfikia.

Matamshi

kimbilia

/kimbilija/