Ufafanuzi wa kimbimbi katika Kiswahili

kimbimbi

nominoPlural vimbimbi

  • 1

    kinyweleo kilichotuna na kujifumba kwa sababu ya mwili kupata baridi au hofu.

Matamshi

kimbimbi

/kimbimbi/