Ufafanuzi wa kimboya katika Kiswahili

kimboya

nominoPlural vimboya

  • 1

    chakula cha mchanganyiko wa muhogo na choroko au kunde kinachosongwa pamoja.

Matamshi

kimboya

/kimbOja/