Ufafanuzi wa kimbugimbugi katika Kiswahili

kimbugimbugi

nominoPlural vimbugimbugi

  • 1

    aina ya magugu yenye urefu upatao futi moja na mbegu ndogondogo.

Matamshi

kimbugimbugi

/kimbugimbugi/