Ufafanuzi wa kimbunga katika Kiswahili

kimbunga

nominoPlural vimbunga

  • 1

    upepo wenye nguvu nyingi.

    tufani, halibari, dhoruba, dharuba, chamchela

Matamshi

kimbunga

/kimbunga/