Ufafanuzi wa kimelea katika Kiswahili

kimelea

nomino

  • 1

    mdudu anayeishi kwa kutegemea viumbe wengine.

  • 2

    mmea unaoishi kwa kutegemea mimea mingine.

Matamshi

kimelea

/kimɛlɛja/