Ufafanuzi wa kimeng’enya katika Kiswahili

kimeng’enya

nominoPlural vimeng’enya

  • 1

    kemikali iliyo katika viumbe wenye uhai ambayo husababisha mabadiliko ya kikemikali k.v. usagaji wa chakula katika tumbo bila yenyewe kubadilika.

Matamshi

kimeng’enya

/kimɛ4ɛ3a/