Ufafanuzi wa kimeta katika Kiswahili

kimeta

nominoPlural kimeta

  • 1

    ugonjwa wa wanyama unaoambukiza sana hata binadamu, humfanya mnyama kuwa na homa kali na pia wengu na koo lake kuvimba.

Matamshi

kimeta

/kimɛta/