Ufafanuzi wa kimetameta katika Kiswahili

kimetameta

nominoPlural vimetameta

  • 1

    mdudu kama nzi anayemetameta usiku.

    kimulimuli

Matamshi

kimetameta

/kimɛtamɛta/