Ufafanuzi wa kimiani katika Kiswahili

kimiani

kielezi

  • 1

    ndani ya goli.

    ‘Hamisi aliingiza mpira kimiani baada ya kuwapiga chenga walinzi’

Matamshi

kimiani

/kimijani/