Ufafanuzi wa kimori katika Kiswahili

kimori

nominoPlural vimori

  • 1

    vazi linalovaliwa juu ya nguo kwa mbele ili kukinga nguo za mvaaji zisichafuke anapofanya kazi.

Matamshi

kimori

/kimOri/