Ufafanuzi wa kimoyomoyo katika Kiswahili

kimoyomoyo

kielezi

  • 1

    bila ya kutamka; ndani kwa ndani; bila ya kusikika.

Matamshi

kimoyomoyo

/kimOjOmOjO/