Ufafanuzi wa Kimrima katika Kiswahili

Kimrima

nominoPlural Kimrima

  • 1

    lahaja ya lugha ya Kiswahili inayosemwa katika sehemu za Mrima, yaani pwani ya Tanzania bara, hususan eneo la Dar es Salaam na Mkoa wa Pwani.

Matamshi

Kimrima

/kimrima/