Ufafanuzi msingi wa kina katika Kiswahili

: kina1kina2kina3kina4

kina1 , akina

kielezi

 • 1

  neno la kuelezea watu wenye uhusiano wa jinsia, ukoo, ujamaa, tabia au hali.

  ‘Kina fulani’

Matamshi

kina

/kina/

Ufafanuzi msingi wa kina katika Kiswahili

: kina1kina2kina3kina4

kina2

nominoPlural vina

 • 1

  silabi za sauti namna moja zinazotokea baada ya kila mizani kadha, hususan katikati na mwisho wa kila mstari wa ubeti wa shairi au utenzi.

Matamshi

kina

/kina/

Ufafanuzi msingi wa kina katika Kiswahili

: kina1kina2kina3kina4

kina3

nominoPlural vina

 • 1

  urefu wa kwenda chini katika shimo au kwenye mkusanyiko wa maji mengi k.v. baharini au bwawani.

  uketo

Matamshi

kina

/kina/

Ufafanuzi msingi wa kina katika Kiswahili

: kina1kina2kina3kina4

kina4

kielezi

 • 1

  kwa undani.

Matamshi

kina

/kina/