Ufafanuzi wa kinaa katika Kiswahili

kinaa

nominoPlural kinaa

  • 1

    tabia au hali ya kutosheka na kitu; tabia ya kutotamani au kutohitajia kitu cha mwingine.

    ‘Yeye ni mtu mwenye kinaa, hababaiki kwa kitu cha mtu’

Matamshi

kinaa

/kina:/