Ufafanuzi wa kinaisha katika Kiswahili

kinaisha

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    ondoa hamu ya chakula baada ya kukila mara nyingi.

Matamshi

kinaisha

/kinaIʃa/