Ufafanuzi wa kindanindani katika Kiswahili

kindanindani

kielezi

  • 1

    bila ya kutaka kujulikana; kwa siri.

Matamshi

kindanindani

/kindanindani/