Ufafanuzi wa kindengereka katika Kiswahili

kindengereka

nomino

  • 1

    kitu kisichokuwa na thamani.

    kinyangarika, kidude, kidubwasha, kidubwana

Matamshi

kindengereka

/kindɛngɛrɛka/