Ufafanuzi wa kinegwa katika Kiswahili

kinegwa

nomino

  • 1

    ndege jamii ya mbayuwayu lakini mwenye mkia mfupi usio na panda, ana rangi ya kahawia, tumbo jeupe au mraba mweupe kifuani.

Matamshi

kinegwa

/kinɛgwa/